Kijimi (Kamerun)

Kijimi ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Wajimi. Lugha hii ni tofauti na Kijimi cha Nigeria. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kijimi imehesabiwa kuwa watu 3500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijimi iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy